GET /api/v0.1/hansard/entries/1555790/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1555790,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1555790/?format=api",
    "text_counter": 186,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Asante Mhe. Spika wa Muda. Nachukua fursa hii kuwapongeza hao mawaziri wawili ambao wameteuliwa. Ndugu yetu Mhe. Geoffrey Ruku aliyekuwa Mbunge mwenzetu kwenye Bunge akiwa mmoja wao. Kwa hakika tutamkosa sana ndugu yetu Mhe. Ruku kwa sababu ni Mbunge ambaye alikuwa ameweka eneo bunge lake mbele. Alikuwa anashughulika na masuala mengi. Ameleta"
}