GET /api/v0.1/hansard/entries/1555962/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1555962,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1555962/?format=api",
"text_counter": 358,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohamed",
"speaker": null,
"content": " Asante sana, Mhe. Spika wa Muda. Prof Abdulrazak anatoka Mombasa na nimefurahi sana kupewa nafasi hii ili nimpongeze huyu msomi. Anaye chukua idara hii ni mchapa kazi. Ukiangalia historia yake, sehemu tofauti ambazo amefanyia jamii kazi yeye ni mtu wa kujituma. Ana uweledi wa uongozi. Kwa vile hatuna muda, nachukua fursa hii kumpongeza ndugu yangu, Prof Abdulrazak Shaukat. Namwambia afanye kazi na kumsaidia Rais kuongoza hili taifa kwende mbele. Asante sana."
}