GET /api/v0.1/hansard/entries/1556207/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1556207,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1556207/?format=api",
    "text_counter": 149,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": null,
    "content": "Katika Kaunti ya Kilifi, tuko na soko kubwa Mazeras, Malindi, Mtwapa na Sabaki lakini hakuna choo. Watu hawana pahali pa kujisaidia ilhali kuna watu wengi katika hizo soko. Kuna watu hapo ambao wananunua vidhaa lakini hawana pahali pa kujisaidia. Kaunti zote nchini Kenya zinapaswa kuhakikisha ya kwamba kuna vyoo ambavyo wananchi wanaweza kwenda wakajisaidia. Vyoo hizo pia zinafaa ziwe na maji ya kutosha ili usafi na afya iweze kuzingatiwa kisawa sawa. Ninaunga mkono taarifa ya Sen. (Prof.) Tom Ojienda."
}