GET /api/v0.1/hansard/entries/1556386/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1556386,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1556386/?format=api",
    "text_counter": 44,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante Bw. Spika. Waziri, pongezi kwa kupewa nafasi ya kuwa Waziri. Tunafurahia sana tukiona wale wenzetu tuliokuwa nao wakipewa hizi nafasi. Swali ambalo ningependa kuuliza ni kwamba, tangu ulipo ingia kwa hiyo Wizara, umetoa mwelekeo wa namna ambavyo mtandao wa hizi simu za rununu na"
}