GET /api/v0.1/hansard/entries/1556630/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1556630,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1556630/?format=api",
    "text_counter": 59,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Mwalimu Nyerere. Fisi alikuwa anakunywa maji mtoni, na kondoopia alikuwa anakunywa maji kwenye huo mto. Fisi alikuwa anakunywa kule maji yanatoka,ilhali kondoo alikua anakunywa kule chini maji yanakoenda. Halafu fisi akamuuliza kondoo,“Mbona unanichafulia maji?” Kondoo akasema, “Maji yanatoka kwako na kuja kwangu,nimeyachafua namna gani?” Akasema, “Kama hujayachafua, kwa nini ulinitusi mwakauliopita?” Kondoo akasema, “Mzee, mwaka uliopita sikuwa nimezaliwa. Nimezaliwa juzi.”Akasema, “Kama sio wewe, ni babako ndiye alinitusi”. Haja yake ilikuwa ni kumshika yulekondoo amle. Anayetaka kufanya jambo lisilofaa, hahitaji sababu. Anaitwa hasidi. Hakunamahasidi katika hili Bunge. You are all Members of Parliament. I encourage you again... Members of the House Business Committee, especially the Leader of the Minority Party and the Leader of the Majority Party, know what we have been doing to fight for NG-CDF). They know how much resistance we have put against your detractors. For the record, I have been in this House before and during the NG-CDF. I do not want to talk about ‘after-NG-CDF,’ because there will be no ‘after NG- CDF.’ It is here to stay. It will always be there. It is very easy. In one of the Parliaments where I was with Hon. Farah and Hon. Keynan, there were three Members: Hon. John Koech, Hon. Jimmy Angwenyi and a third Member. Who was the third Member, Hon. Keynan?"
}