GET /api/v0.1/hansard/entries/1556701/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1556701,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1556701/?format=api",
    "text_counter": 130,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Wundanyi, WDM",
    "speaker_title": "Hon. Danson Mwashako",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante sana, Mheshimiwa Spika. Hili ni suala nyeti na zito. Kwa miaka mingi, shirika la KWS limeendelea kuongeza mipaka yake na kuwasukuma wananchi kule Taita Taveta. Kando na sehemu hii ambayo Mhe. Bwire ameleta hapa Bungeni, kuna sehemu nyingi ambapo kuna utata na KWS. Ombi langu kwako na kamati itakayofanya kazi hii ni kuwa walizingatie ombi hilo kwa haraka ili mipaka ya KWS The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}