GET /api/v0.1/hansard/entries/1556702/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1556702,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1556702/?format=api",
    "text_counter": 131,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Wundanyi, WDM",
    "speaker_title": "Hon. Danson Mwashako",
    "speaker": null,
    "content": "ionekane. Kwa hivyo, wananchi ama watu wa Taita/Taveta wapewe nafasi ya kuchukua sehemu zilizokuwa zao wakati wa mababu zetu. Mheshimiwa Spika, nakushukuru sana kwa swala hili; maanake najua mambo haya ya mashamba na mipaka yanagusia mambo ya usalama. Kwa mfano, Tsavo imefika Taveta na Voi . Mipaka ya Tsavo inasumbua mpaka kule Kishushe upande wa Wudanyi. Tsavo bado inasukuma wananchi sehemu za Mwatate mahali Mheshimiwa Mbogho anatoka. Inakataa mpaka uzio isifanyike, na tunasumbuka sana na wanyama pori kwa sababu hiyo. Asante kwa kutupa hii nafasi. Mambo haya ni nyeti; tunahisi yafanyike kwa haraka."
}