GET /api/v0.1/hansard/entries/1557056/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1557056,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1557056/?format=api",
"text_counter": 485,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nominated, ODM",
"speaker_title": "Hon. Irene Mayaka",
"speaker": null,
"content": " Shukrani sana Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii ili niweze kuchangia Hoja hii Maalum ya kuwaunga mkono walioteuliwa kama Principal Secretary, Bi. CPA Carren na Bw Fikirini. Nimeangalia ripoti ambayo tumepewa kutoka kwa Kamati hii kikamilifu, na nafurahi sana. Hata wakati ambapo walikuwa wanahojiwa, niliweza kuwatazama kwa runinga, na vijana hawa wawili waliweza kujieleza vizuri kabisa. Bi. CPA Carren amehitimu kimasomo, na vile vile alijieleza vizuri sana kuwa ana"
}