GET /api/v0.1/hansard/entries/1557058/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1557058,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1557058/?format=api",
"text_counter": 487,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nominated, ODM",
"speaker_title": "Hon. Irene Mayaka",
"speaker": null,
"content": "katika kuendeleza mambo yanayowahusu watoto na huduma yao. Vile vile, Bw. Fikirini ni kijana ambaye namjua vizuri sana. Tumekuwa pamoja kwenye Chama cha ODM kama vijana. Bw. Fikirini amekuzwa na Baba Raila Amollo Odinga, sawa na wengine wetu. Amehitimu kimasomo, ni kijana mchapa kazi atakayewatetea vijana. Hili amelionyesha katika kazi ambayo amekuwa akifanya, na amewasaidia vijana sana. Tunashukuru Kamati hii kwa kutupatia Ripoti ambayo inaonyesha kuwa vijana hawa wawili wamehitimu. Ningetaka niwaambie vijana wa hii nchi kuwa hiki ni kielelezo wazi ya The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}