GET /api/v0.1/hansard/entries/1557807/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1557807,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1557807/?format=api",
    "text_counter": 156,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Asante sana Mhe. Spika. Kwanza nimpongeze Waziri kwa kuja kwenye Bunge hili kutupa uwazi wa mambo ya maendeleo mashinani. Pesa za NGAAF shilingi billioni tatu ni pesa kidogo sana. Hata kwa uchache wake, sisi tulikuwa tumeambiwa na Rais kuwa atatuongezea. Nauliza hivi: kwa nini umepunguza shilingi millioni 500? Tunatamaushwa sana. Utupe sababu kwa nini umepunguza, zimeenda kwa nani na kwa nini umeangalia NGAAF peke yake wala sio pesa zingine? Asante sana, Mhe. Spika."
}