GET /api/v0.1/hansard/entries/1559241/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1559241,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1559241/?format=api",
"text_counter": 232,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nominated, ODM",
"speaker_title": "Hon. Irene Mayaka",
"speaker": null,
"content": " Ahsante sana, Mheshimiwa Spika, kwa kunipatia fursa hii ili nijiunge na Wabunge wenzangu kuwakaribisha wenzetu kutoka Pare katika Bunge hili. Nawahimiza wajisikie huru na wajisikie nyumbani. Kama Bunge, tunawakataza wale wanaotaka kuwabagua wenzetu wameotoka katika sehemu za mipaka. Tunawashurutisha viongozi katika kaunti wawe katika mstari wa mbele wa kuwatetea wenzetu wanaotoka mipakani ili wawe hapa. Hata hivyo, nataka kuwahimiza wenzetu kutoka Pare kuwa wakija Bunge siku nyingine, waje na vijana wachanga ili wenzetu ambao hawana mabwana wapate mabwana ili Wapare waongezeke na wapate mabibi kutoka kwingine."
}