GET /api/v0.1/hansard/entries/1560001/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1560001,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1560001/?format=api",
    "text_counter": 992,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Likoni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Mishi Mboko",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda. Naunga mkono Mswada huu unaozungumzia kutengenezwa na kudhibitishwa kwa mikataba ya kiulimwengu. Kama tunavyofahamu, taifa letu lina sheria zinazotokana na sheria mama ya Katiba yetu. Pia, tunazo sheria ambazo zimetokana na mikataba ya kiulimwengu ambapo nchi yetu The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}