GET /api/v0.1/hansard/entries/1560963/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1560963,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1560963/?format=api",
    "text_counter": 215,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mandera South, UDM",
    "speaker_title": "Hon. Abdul Haro",
    "speaker": null,
    "content": " Asante Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipatia fursa hii ili nichangie kauli hii muhimu. Naunga mkono kauli hii ya Mheshimiwa kuhusu Msikiti wa Kongo. Mambo kuhusu ardhi za kidini yamekuwa donda sugu katika nchi hii. Tumepata misukosuko mingi katika sehemu za sala, iwe kanisa ama misikiti kuhusu ardhi na majibizano kuhusu uongozi wa sehemu hizo. Ardhi imekuwa jambo ambalo limeleta matatizo mengi katika sehemu za dini. Wakati Kamati itakapokuwa ikiangalia kauli hili, ningependa isiangalie Msikiti wa Kongo pekee yake, ila waangalie sehemu zote za dini ambazo zina mabishano kuhusu ardhi, The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}