GET /api/v0.1/hansard/entries/1560964/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1560964,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1560964/?format=api",
    "text_counter": 216,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mandera South, UDM",
    "speaker_title": "Hon. Abdul Haro",
    "speaker": null,
    "content": "iwe ni kanisa au misikiti. Hapa Nairobi, wiki iliyopita, tulipata matatizo katika Msikiti wa Majengo. Juzi, watu waliumizana katika mabishano kuhusu ardhi ya Msikiti wa Jamia hapa Globe roundabout. Kisumu pia kulikuwa na mabishano kati ya msikiti na kanisa hadi msikiti ikapewa jina ambayo inahusisha dini zote mbili. Majibizano kuhusu ardhi katika sehemu za maombi ni nyingi. Ningependa Kamati iangazie sehemu zote ambazo ziko na mabishano. Asante."
}