GET /api/v0.1/hansard/entries/1560975/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1560975,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1560975/?format=api",
"text_counter": 227,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nakuru Town East, UDA",
"speaker_title": "Hon. David Gikari",
"speaker": null,
"content": "Kitu cha kwanza ni hatuwezi kuwa na mafisaa wa ardhi ambao wanashiriki kufanya maovu hata ya kunyakua ardhi ya misikiti na kanisa. Ninaomba Kamati itoe hukumu kwa mafisa wa ardhi waliohusika katika ubadilishaji huu. Pili, kama ndugu yangu alivyosema kuhusu kumwalika Waziri hapa, mbeleni tuliambiwa wanaenda katika mfumo ya kidijitali. Tungependa kujua kama bado mfumo huo unaendelea kusajili wamiliki wa mashamba. Tukiendelea na usajili wa manual, tutasumbuka zaidi. Ningependa Kamati itoe hukumu kwa mafisa wa ardhi ambao walihusika katika uporaji wa shamba la msikiti. Asante."
}