GET /api/v0.1/hansard/entries/1561440/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1561440,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1561440/?format=api",
"text_counter": 228,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kuria East, UDA",
"speaker_title": "Hon. Maisori Kemero",
"speaker": null,
"content": " Mhe. Spika, kwa ruhusa yako, naomba kumuunga mkono jirani yangu, Mhe. Sunkuli. Wazaramo wana msemo unaosema kuwa mla huliwa. Matatizo mengi sana yameibuka katika eneo hili. Tunashangaa kuwa mara kwa mara, kilio kikubwa zaidi kinasikika wakati vyombo vya dola kutoka kwa serikali tofauti tofauti vimeingilia swala hili. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}