GET /api/v0.1/hansard/entries/1561443/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1561443,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1561443/?format=api",
    "text_counter": 231,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kuria East, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Maisori Kemero",
    "speaker": null,
    "content": " Mhe. Spika, Mhe. Sunkuli ameomba kauli ya pili kuhusu suala lile lile. Kwani Kamati hii ina watu wazembe ambao hawataki kufanya kazi au wanafurahia Wakuria na Wakipsigis wakifa? Wanataka akina nani wafe ili waje kutatua tatizo hili? Jambo hili linaudhi sana."
}