GET /api/v0.1/hansard/entries/1561792/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1561792,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1561792/?format=api",
    "text_counter": 580,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ganze, PAA",
    "speaker_title": "Hon. Kenneth Tungule",
    "speaker": null,
    "content": "na polisi, kuleta programs ambazo zitapelekwa mashinani kwa ajili ya kuhamasisha watu wa bodaboda kuhusu usalama barabarani na pia jinsi wanavyoweza kujiendeleza kimaisha kutokana na kazi yao. Naunga mkono Mswada huu hata kama umekuwa withdrawn. Nasisitiza kuwa zile asasi zinazohusika kama Kamati yetu ya Uchukuzi, Ujenzi wa Miradi ya Umma na Makazi ilete tena Mswada huu ili tuweze kuujadili na kuzileta sheria mwafaka zitakazosaidia kudhibiti sekta ya bodaboda. Asante, Mheshimiwa Spika wa Muda."
}