GET /api/v0.1/hansard/entries/1562610/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1562610,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1562610/?format=api",
    "text_counter": 49,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wafula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Lazima tukubaliane ikiwa sisi tulio serikalini tunafanya yale serikali inataka. Wale wako katika serikali kufanya kazi wasioheshimu kazi zao, tukutaneni hapa. Siku ambayo watataka tuwasaidie pia sisi tutakataa. Tuone ikiwa watapata hizo fedha. Juzi wamekuwa wakiturai hapa tupige kura ziende mashinani tukakubali kwamba tuko katika serikali ila wale tunaowatetea wanatudharau na kutuonyesha kiburi. Sasa tukubaliane na nawaomba viongozi katika mrengo wa serikali--- Ipo siku watakuja kutuomba tupige kura kupitisha Miswada yao. Tukatae kisha tuone ikiwa watatupigia makofi au kutushurutisha."
}