GET /api/v0.1/hansard/entries/1562930/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1562930,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1562930/?format=api",
    "text_counter": 70,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika. Kwa uchungu mwingi ninataka kuungana na Maseneta wengine kuomboleza kifo cha Mbunge, Sir Charles Were wa Kasipul Kabondo. Ninamjua marehemu Mhe. On’gondo Were kwa sababu kila wakati nikienda katika ukumbi wa gym, nilikuwa ninampata pale. Yeye kila wakati alikuwa mtu wa kupenda mazoezi. Nilimjua kama mtu mcheshi sana."
}