GET /api/v0.1/hansard/entries/1562931/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1562931,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1562931/?format=api",
"text_counter": 71,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Ni uchungu mwingi kwa yule Mbunge kupigwa risasi. Maswali yaliyopitia akilini mwangu ni kuwa alikuwa na walinzi wake. Hakuna ripoti yoyote inayoonyesha kuwa walinzi wake walijaribu kuwafurusha waliomuuwa. Kazi ya hao walinzi ni ipi?"
}