GET /api/v0.1/hansard/entries/1562933/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1562933,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1562933/?format=api",
    "text_counter": 73,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Vile vile, katika vyombo vyetu vya habari na mitandao ya kijamii, watu wanaongea maneno mengi. Ikiwa mtu yeyoye ana jambo linaloweza kusaidia kuleta jawabu kwa maswali yanayoulizwa na Wakenya, aambie maafisa wa ujasusi ambao wanaweza kufanya uchunguzi vizuri badala ya kuandika katika vyombo vya habari kwa sababu havitasaidia."
}