GET /api/v0.1/hansard/entries/1562946/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1562946,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1562946/?format=api",
"text_counter": 86,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chimera",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante, Bw. Spika, kwa fursa hii. Kwa niaba yangu binafsi, familia yangu na watu wa Kwale, ninatuma risala zangu za rambirambi kwa familia ya marehemu Charles Ong’ondo Were, jamii na marafiki kutoka eneobunge la Kasipul Kabondo kwa kumpoteza kiongozi wao. Kifo cha mheshimiwa huyu ni jambo la kushangaza sana kuona kwamba kiongozi wa namna ile anaweza kupoteza maisha katika hali ile."
}