GET /api/v0.1/hansard/entries/1562947/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1562947,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1562947/?format=api",
    "text_counter": 87,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chimera",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Nimemfahamu marehemu kwa muda wa kipindi kifupi sana. Tumekuwa tukifanya mazoezi na yeye katika chumba cha mazoezi cha Bunge. Alikuwa mtu mcheshi aliyefahamu historia ya uongozi wa nchi hii vizuri sana."
}