GET /api/v0.1/hansard/entries/1562951/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1562951,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1562951/?format=api",
    "text_counter": 91,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chimera",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Pia nichukuwe fursa hii nizungumzie waliozungumza katika mitandao ya kijamii. Wakenya wametoa hisia zao kuhusiana na kitendo hicho chote. Wengine wamefurahia na wengine wana huzuni. Sio jambo nzuri kwamba tunasherehekea kifo hususan cha kiongozi."
}