GET /api/v0.1/hansard/entries/1562963/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1562963,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1562963/?format=api",
    "text_counter": 103,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "ituambie ni nani alirusha hicho kiatu. Ninatuma rambirambi zangu na watu wa Embu. Hon. Were alikuwa rafiki yangu. Alikuwa akiniita shemeji kwa sababu alioa msichana wa Meru. Lazima tuangalie haya mambo ndiposa kitendo kama hicho kisifanyike tena."
}