GET /api/v0.1/hansard/entries/1562967/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1562967,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1562967/?format=api",
    "text_counter": 107,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kavindu Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13733,
        "legal_name": "Agnes Kavindu Muthama",
        "slug": "agnes-kavindu-muthama"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii ili nilete rambirambi zangu na watu wa Machakos County. Ninawapa pole watu wa Homa Bay County kwa kumpoteza mtoto wao, Mhe. Charles Were. Hili jambo linahuzunisha watu wote kulingana na vile lilitokea. Alikuwa kazini siku mzima kisha akapoteza maisha yake alipokuwa akielekea nyumbani."
}