GET /api/v0.1/hansard/entries/1563140/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1563140,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1563140/?format=api",
    "text_counter": 280,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Pili, wakurugenzi wa Benki Kuu ya Kenya wana jukumu muhimu la kuangalia ni vipi mfumo wa fedha utakavyoendeshwa katika nchi yetu. Kwa hivyo, hii si bodi ambayo itachukuwa mtu yoyote katika Jiji la Nairobi au kaunti zetu, bali mtu mwenye tajriba na anayeweza kutoa muongozo katika masuala yatakayozungumzwa katika Benki Kuu ya Taifa."
}