GET /api/v0.1/hansard/entries/1563701/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1563701,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1563701/?format=api",
"text_counter": 109,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "Bw. Spika, nami ningependa kuongezea maoni yangu kuhusu Taarifa iliyoletwa na Sen. Omtatah. Vile vile katika gazeti hilo, Kiwanda cha Mchele cha Mwea kimeorodheshwa kama mojawapo ya viwanda ambavyo vinafaa kubinafsishwa."
}