GET /api/v0.1/hansard/entries/1563702/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1563702,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1563702/?format=api",
    "text_counter": 110,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Babu yangu ni mmoja wa wale waliopeana mashamba na vile vile kuchangia katika kujengwa kwa kiwanda hicho. Kwa hivyo, Serikali inapoamua kukiuza, ni vyema tujue ni kwa jinsi gani wale waliopeana mashamba kwa hiari watafaidika. Nikikupa shamba ufanyie kitu fulani, ikiwa huna haja nalo tena, unafaa kunirudishia mimi niliyekupa kwa sababu sikuuza."
}