GET /api/v0.1/hansard/entries/1563703/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1563703,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1563703/?format=api",
"text_counter": 111,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "Jambo la pili ni kuwa kuna mchango uliofanyika ili kuhakikisha kuwa kiwanda hicho kinaendelea. Wengi wa watu hao huzikwa makaburini. Sisi kama Wakikuyu kutoka Kirinyaga tunashika mashamba yetu. Tulipeana mashamba na sasa watu wanakaa vijijini ambako hawana hata mahali pa kuzikwa."
}