GET /api/v0.1/hansard/entries/1563704/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1563704,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1563704/?format=api",
"text_counter": 112,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "Ni vyema kwa watu hao waliokuwa na roho nzuri kuhusishwa kwa jambo kama hili. Waliobaki kama sisi tunafaa kuitwa kwa sababu kuna wengine waliotutangulia kwenda ahera. Tunafaa kupeana maoni yetu kwa sababu wale waliobaki hawataki uwanja huo uuzwe."
}