GET /api/v0.1/hansard/entries/1564419/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1564419,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1564419/?format=api",
"text_counter": 246,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Nitaanza kwa kuvulia njuga Hoja hii ikiwa na marekebisho. Ni jambo la kuvunja moyo sana ukitembelea gatuzi unapata ina na maspika wawili, karani wawili na vikao viwili, ilhali ni gatuzi moja."
}