GET /api/v0.1/hansard/entries/1564420/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1564420,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1564420/?format=api",
    "text_counter": 247,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, ikiwa Spika ametimuliwa kutoka kwa kiti chake, hana haja yoyote kuwa na kikao chochote mahali popote. Lakini hata tukiwa tunasema hivyo, nimeangalia nikaona ya kwamba kuna hizi sehemu ambazo kwa lugha ya kiingereza wanasema zimegazetiwa na ambazo zinapaswa kutumika kama vikao maalum vya Bunge la Kaunti ya Nyamira."
}