GET /api/v0.1/hansard/entries/1564421/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1564421,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1564421/?format=api",
"text_counter": 248,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Idara za Serikali zinachangia kuchanganya wananchi wa Kenya. Unapata ya kwamba mahali ambapo hiki kikao cha Wawakilishi Wadi wa Nyamira wamekutana, wanatumia sheria. Nimemsikiza Mwenyekiti akituambia ya kwamba tayari hiki kikao chenyewe ni gazetted na kuna namba ya Gazeti Rasmi ambayo imepewa."
}