GET /api/v0.1/hansard/entries/1564422/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1564422,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1564422/?format=api",
"text_counter": 249,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Bw. Spika, ni kama tuna idara tofauti za Serikali. Kuna idara ambayo inasema ya kwamba ndiyo, kuna wale ambao wanapaswa kuwa mashinani na kuna wale ambao wako katika ile sehemu ambayo imetengwa maalum ya hawa wawakilishi wadi kukutana na kufanya vikao vyao. Idara za Serikali zinapaswa kuwa zinawasiliana, si kupeana mambo kiholela. Kwangu inakaa ni kama ni miujiza kama si maajabu."
}