GET /api/v0.1/hansard/entries/1564425/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1564425,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1564425/?format=api",
    "text_counter": 252,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, nimemsikiza Seneta kutoka Nyamira akielezea yale mambo ambayo yanatendeka huko. Unapata ya kwamba kama ni hela, zinatoka na zinapeanwa kwa gatuzi hizi mbili. Ikiwa pesa zinatumika na kaunti hiyo kwa njia ambayo haifai, basi wanapaswa kurejesha."
}