GET /api/v0.1/hansard/entries/1564427/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1564427,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1564427/?format=api",
"text_counter": 254,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, nashindwa ni kwa nini tunaandika kwa mate ilhali kuna wino. Tusiwe tunatoa mapendekezo ya kupoteza muda. Wakati mwingi tunatoa mapendekezo ambayo hayafuatiliwi. Kamati husika imekuwa ikishughulikia jambo hilo kwa zaidi ya siku 45 lakini watu hawajapata majibu. Isiwe sisi kama Seneti tunatoa mapendekezo ambayo hayatiliwi maanani."
}