GET /api/v0.1/hansard/entries/1564442/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1564442,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1564442/?format=api",
    "text_counter": 269,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wakili Sigei",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Spika wa Muda, ningependa kutilia mkazo jambo lililosemwa na Sen. Mumma. Kamati ya Haki, Masuala ya Kisheria na Haki za Kibinadamu ilipewa jukumu la kuangalia mambo mawili. Tutakuwa na mkutano Ijumaa. Tuko tayari kuangalia mambo hayo kisha tutatoa mapendekezo yetu."
}