GET /api/v0.1/hansard/entries/1564444/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1564444,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1564444/?format=api",
"text_counter": 271,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, hiyo ni dhahiri shahiri kuwa Kamati hiyo imezembea katika kazi yake kwa sababu hawajalivalia njuga jambo hili ambalo ni muhimu kwa sababu sasa ni zaidi ya siku 45. Wanasema kuwa hawajakuwa na kikao"
}