GET /api/v0.1/hansard/entries/156455/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 156455,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/156455/?format=api",
"text_counter": 351,
"type": "speech",
"speaker_name": "Dr. Shaban",
"speaker_title": "The Minister of State for Special Programmes",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": " Bw. Naibu Spika wa Muda, asante sana kwa kunipa nafasi hii ili niweze kuzungumza juu ya mjadala huu. Mimi kama mmoja wa kutoka Pwani, naona ni makosa kwa sisi kila mara Mpwani yeyote akipewa kazi tunatumia Bunge hili ili kuwasagia wengine ili wakose kazi. Sio lazima kwamba atakaye pata kazi kila mahali awe ni mpenzi wetu, ndugu yetu, rafiki wetu ama ndugu wa kisiasa. Ningependa kuunga mkono kazi iliyofanywa na Kamati hii ambayo imechukuwa muda wao kutafuta watu ambao wanafaa kufanya kazi. Tunaomba kuwa watu hao waweze kufanya kazi kikamilifu maanake mwaka 2007, matatizo tuliyokuwa nayo ni kwa sababu ya watu ambao hawakuweza kufanya kazi sawa"
}