GET /api/v0.1/hansard/entries/1564551/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1564551,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1564551/?format=api",
"text_counter": 378,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa fursa hii ili kuchangia na kuunga mkono moja kwa moja ripoti hii ya kamati kuhusu Kaunti ya Nyamira. Swala hili liliibuka wakati Gavana wa Nyamira alipokuja katika Kamati ya Bajeti na Fedha ambapo tunaketi na Seneta wa Nyamira, Sen. Omogeni. Tuligundua kwamba kuna vikao viwili tofauti. Kikundi cha kwanza kinaketi katika Bunge la Kaunti ya Nyamira lililo mkabala na Jengo la KIE na bunge lingine linaketi mahali tofauti tofauti. Linaitwa Bunge Mashanani."
}