GET /api/v0.1/hansard/entries/1564553/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1564553,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1564553/?format=api",
"text_counter": 380,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Bi. Spika wa Muda, kamati hii imefanya kazi nzuri ingawaje imepata mapigo. Najua wewe ni Memba wa kamati hiyo. Kwa kujibu swali la kwanza, wamesema kuwa bunge ambalo ni halali ni lile ambalo linaketi mkabala na Jengo la KIE huko Nyamira. Kwa kikundi kinachofanya vikao vyake mashinani, hakukuwa na resolution yoyote ya Bunge la Kaunti ya Nyamira."
}