GET /api/v0.1/hansard/entries/1564557/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1564557,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1564557/?format=api",
"text_counter": 384,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Swali hilo limejibiwa na mabadiliko katika Hoja ya kwamba sheria zote zilizopitishwa na bunge hilo ambalo siyo halali basi pia siyo halali. Nakubaliana mia kwa mia na pendekezo hilo. Je, sheria hizo ambazo tunasema siyo halali zitachukuliwa namna gani? Kwa mfano, kuna bajeti ya ziada, ama supplementary budget, ambayo ilipita na tayari inatumika. Je, wale ambao wanatumia pesa watachukuliwa hatua aina gani?"
}