GET /api/v0.1/hansard/entries/1564562/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1564562,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1564562/?format=api",
"text_counter": 389,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "The Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) inafaa iingilie kati na kuangalia uhalisia na maadili yanayotokana na hilo jambo. Bi. Spika wa Muda, naunga mkono hii ripoti. Ni kweli kwamba, lazima iwe ni interim kwa sababu bado wanataka kwenda kule ili kuangalia kama wanaweza suluhisha yale mambo yaliyoko huko kisiasa. Nashukuru."
}