GET /api/v0.1/hansard/entries/1564938/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1564938,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1564938/?format=api",
    "text_counter": 317,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Bi. Spika wa Muda. Asante, Waziri, kwa kuja asubuhi hii ya leo. Swala langu ni kuhusu malipo ya SHA. Je, inakuwaje wakati mgonjwa, kwa mfano, anapofanya operation, SHA inasisitiza kwamba lazima alipe malipo ya zaidi ya miaka miwili ili aweze kupata huduma anayohitaji, aidha ya operation ama ya kulazwa kwa matibabu fulani ambayo ni ya kitaalamu? Nimepata malalamiko mengi kutoka kwa wananchi kwamba wanalazimishwa kulipa subscriptions za miaka miwili au miaka miwili na nusu ili waweze kupata huduma hiyo kutoka kwa hospitali zao. Asante. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}