GET /api/v0.1/hansard/entries/1564964/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1564964,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1564964/?format=api",
"text_counter": 343,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Miraj",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante, Bi. Spika wa Muda. Swali langu kwa Waziri litakwenda moja kwa moja nikiwa mkaazi wa Gatuzi la Mombasa. Tuko na Faraja ya kwamba tuko na the Coast General Referral Hospital. Tatizo ambalo liko kwenye hospitali yetu ni kwamba wagonjwa wananyimwa huduma. Wanapofika wanaulizwa maswali iwapo wako na---"
}