GET /api/v0.1/hansard/entries/1564968/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1564968,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1564968/?format=api",
"text_counter": 347,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Miraj",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Swali langu ni kwamba, kuna ushirikiano gani wa karibu baina ya Wizara na Gatuzi la Mombasa. Kwa sababu anayepeena huduma pale the (CEO) anasema ya kwamba hamupeani pesa za SHA wanapotibu wagonjwa. Kwa hivyo, wagonjwa walio na uwezo wanalipishwa pesa zaidi. Bills zimekuwa kubwa na radiotherapy haifanyi. Kama ingewezekana, Bw. Waziri, ningeomba uweze kufika Mombasa, Coast General Hospital. Maafa yamekuwa mengi, hakuna wauguzi---"
}