GET /api/v0.1/hansard/entries/1565501/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1565501,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1565501/?format=api",
    "text_counter": 186,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante, Bw, Naibu Spika. Mimi ninaunga mkono Mswada wa ugavi wa pesa katika kaunti na pia kwa national Government. Katika hiki kipindi ambacho tumekuwa hapa tangu mwaka 2022 counties zimekuwa na shida nyingi sana. Maseneta wamekuwa wakijaribu kuangalia vile pesa zinaweza kuenda katika kaunti zetu ili kusaidia. Lakini kumekuwa na shida kutoka kwa MPs, National Treasury na pia Serikali Kuu. Na hata magavana wamekuwa wakilia hata wakipatiwa pesa kiasi gani. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}