GET /api/v0.1/hansard/entries/1565748/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1565748,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1565748/?format=api",
    "text_counter": 163,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "taratibu za kisheria, anapaswa apewe fursa kama mtu mwingine yeyote ili afanye kazi yake. Bw. Spika, tunamwambia Gavana wa Nairobi vizuri aelewe kwamba, ni juzi tulikuwa na yeye hapa Seneti na alikuwa akitetea hawa wafanyi biashara wa rejareja. Sijui ni nini kimefanyika na akapinduka. Amewafukuza ni kama swara hapa mjini. Hakuna mahali wanaweza keti na kufanya biashara zao. Hawezi kuwatengenezea hata choo na wale wanalipa kodi. Kwa hivyo, ni vizuri hata wao waangaliwe."
}